VA
Ijapo safari iwe na ugumu Utanishika mkono Ijapo adui aje kwa vishindo Bado Wewe uko na mimi
VB
Ijapo safari iwe na huzuni Utayapanguza machozi Ijapo adui aje kwa vishindo Bado Wewe uko nami
VC
Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu
VD

VE
Ijapo safari iwe na ugumu Utanishika mkono Ijapo adui aje kwa vishindo Bado Wewe uko nami
VF
Ijapo safari iwe na huzuni Utayapanguza machozi Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami
VG
Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu
VH

VI

VJ
Ijapo safari iwe na giza Utaangaza njia yangu Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami
VK
Ijapo safari iwe na ukame Wewe ni maji ya uzima Ijapo adui aje kwa vishindo Bado wewe uko nami
VL
Utayarejesha maono yangu Miaka yote iliyoliwa na nzige Nimeona wema wako Na nguvu zako maishani mwangu
VM